This app isn't in any of our charts yet.
Karibu DryCleaner Pro! Mfumo rahisi wa kusimamia biashara yako ya Laundry na Dry Cleaning. Vipengele: • Sajili na simamia oda za wateja. • Fuatilia hatua za ufuaaji wa nguo. • Hifadhi taarifa na historia ya wateja. • Rekodi malipo na fuatilia madeni. • Tengeneza na chapisha risiti. • Tuma SMS kwa wateja. • Angalia mapato, matumizi na ripoti za biashara. DryCleaner Pro - Wewe Fua, Sisi Tunasimamia!
Simamia oda, wateja, malipo na SMS za laundry yako kwa urahisi.
DryCleaner Pro ni programu ya simu kwa wamiliki na wafanyakazi wa laundry na dry cleaning Tanzania. Kwa DryCleaner Pro unaweza: • Kufungua na kufuatilia oda za wateja • Kusimamia orodha ya wateja na namba zao • Kurekodi malipo na deni • Kutuma SMS za taarifa na ukumbusho kwa wateja • Kurekodi matumizi ya biashara • Kuona ripoti za shughuli za kila siku • Kuweka bei za nguo • Kusimamia mpango wa usajili na malipo Programu inahitaji akaunti. Baada ya kujisajili, unaweza kuingia kwa barua pepe au namba ya simu. DryCleaner Pro imeundwa kwa ajili ya biashara — si programu ya kuagizia laundry kama mteja wa mwisho.
Not enough data yet.
Google Play only. Downloads from daily Top free ranks (or the store's install count); in-app revenue from Top grossing ranks, calibrated on AppTweak's US estimates, or else from downloads; ads from public ad benchmarks. Not reported figures.